Thursday , 25 April 2024
HABARI ZA SIASA
Habari za Siasa

Prof. Muhongo akomalia matumizi nishati jadidifu kuondoa uhaba wa umeme

  MBUNGE wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo, ameendelea kuishauri Serikali ijikite katika vyanzo vya umeme vinavyotokana na nishati jadidifu akisema vinaweza...

Habari za Siasa

Kilosa yawa mfano wa kuigwa miradi ya Mwenge nchini

  KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Godfrey Mzava amezitaka Halmashauri zote Nchini kuhakikisha zinatekeleza miradi ya kimaendeleo kwa kufuata sheria na kuzingatia...

Habari za SiasaTangulizi

Biteko ataja vipaumbele 7 bajeti nishati 2024/25

  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametaja vipaumbele saba vya bajeti ya wizara yake ambavyo ni pamoja na...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mwekezaji amwaga bil. 39 kujenga viwanda 3 vya uchenjuaji

Kampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya Akmenite Limited Lithuania, inatarajia kutumia dola za Marekani milioni 15 (Sh 38.9 bilioni)...

Habari za SiasaTangulizi

Mpwa wa Magufuli mbaroni kwa kusambaza picha za utupu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili akiwamo mpwa wa hayati John Magufuli, Furaha Dominic kwa tuhuma za...

Habari za Siasa

Serikali kuanzisha mradi wa Gridi ya maji ya Taifa

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema katika mwaka wa fedha wa 2024/2025, Serikali inatarajia kuajiri mtaalam mshauri atakayefanya upembuzi yakinifu wa mpango wa...

Habari za SiasaTangulizi

Shibuda amlima waraka mzito Bulembo

MKONGWE wa siasa nchini, John Shibuda amemshukia kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Mulembo, aliyempinga Mbunge wa Kisesa, Lwaga Mpina. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Samia aridhishwa utendaji mabalozi, awapa neno

Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewapongeza mabalozi  wanaowakilisha  Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

NMB yadhamini Mkutano Mkuu ALAT, kufunguliwa na Samia

BENKI ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. 120 milioni kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mipango na uwekezaji kutumia bilioni 121.3, mradi wa Bagamoyo wapewa kipaumbele

WIZARA ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, imeliomba Bunge liidhinishe bajeti yake ya kiasi cha Sh. 121.3 bilioni, katika mwaka ujao wa...

ElimuHabari za Siasa

MbungeCCM ataka kasi uzalishaji walimu ipunguzwe akidai hakuna ajira

  MBUNGE wa Mlalo (CCM), Rashid Shangazi, ameishauri Serikali ipunguze kasi ya uzalishaji wahitimu katika taaluma ambazo nafasi za ajira zimepungua ikiwemo walimu,...

ElimuHabari za Siasa

Walimu 52,551 kupandishwa madaraja mwaka huu

Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha unaoishia 2023/2024, Serikali imepanga...

BiasharaElimu

NMB yatoa vifaa vya ujenzi kwa shule sita Nyasa  

BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya ujenzi vyenye thamani ya Zaidi ya shilingi milioni 29.7 kwa shule sita zilizopo katika...

ElimuHabari Mchanganyiko

GGML yawapa mbinu wanafunzi Geita Boys kufikia malengo ya kitaaluma

Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa mafunzo maalumu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (Geita Boys) kwa lengo...

AFYA

Afya

Mloganzila yajipanga kupandikizaji wa ini

  HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imesema kutokana na uwekezaji uliofanywa na Serikali...

AfyaHabari za Siasa

Serikali yasaka watumishi afya ngazi ya jamii 8,900

SERIKALI imeanza utekelezaji wa mpango jumuishi wa wahudumu wa afya ngazi ya...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Bima ya afya kwa wote kuanza Aprili, wajane kicheko

SHERIA ya Bima ya Afya kwa Wote, inatarajiwa kuanza kutumika kabla ya...

AfyaHabari Mchanganyiko

Marekani kuipa Tanzania bilioni 980 kudhibiti VVU, UKIMWI

SERIKALI ya Tanzania inatarajiwa kupewa msaada wa fedha kiasi cha Sh. 980...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wanavijiji wajenga zahanati kukwepa umbali mrefu kupata huduma

WANAVIJIJI wa Kata ya  Musanja Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, wameamua...

BIASHARA NA UCHUMI
Biashara

Jiandalie Strawberry Cocktail yako nyumbani huku unacheza kasino 

  UTAANDAA matunda yako unayotaka kutumia unaweza kutumia Strawberry, Cantaloupe ni jamii ya matunda ya limao, embe, parachichi, halafu kwenye kusaga usitumie maji...

Biashara

420 Blaze It chimbo jipya la kuchota mihela Meridianbet kasino 

  JE, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10? Ikiwa hujawahi, sasa unapata nafasi kamili ya kufanya hivyo. Kupitia Meridianbet Kasino ya...

Biashara

Exim yawainua kiuchumi wanawake wajasiriamali kupitia mpango wa WEP

  BENKI ya Exim kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi Wanawake (WEP), imetoa mafunzo kuhusu masuala ya ujasiriamali, biashara, na uwezeshaji kwa wanawake...

BiasharaMichezo

NBC yaunga mkono jitihada kutokomeza malaria

Kuelekea Maadhimisho ya siku ya malaria Duniani yatakayofanyika kesho Aprili 25, 2024 mkoani Tabora, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na Baraza...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaahidi kuendelea kuunga mkono Serikali za Mitaa

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuunga mkono jitihada mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) katika...

Biashara

Shindano la Expanse Meridianbet kasino kutoa mihela kwa washindi 

  KILA siku Meridianbet imekuwa mstari wa mbele kutoa fursa kwa kila mtu kutengeneza pesa anavyoweza, kupitia promosheni ya shindano la Expanse, unaweza...

Biashara

Bonasi za kasino kupitia shindano la Expanse na Meridianbet 

  MERIDIANBET Kasino ya Mtandaoni ni moja ya chimbo rahisi la kutengenezea pesa, kupitia promosheni, bonasi za kasino, na michezo mingi ya kasino...

Biashara

Toshiba yapata kibali cha kuzalisha vifaa umeme kukarabati kiwanda cha nishati ya jotoardhi Kenya

  KAMPUNI ya Toshiba Energy Systems & Solutions Corporation (Toshiba ESS) imefanikiwa kupata kibali kutoka kwa SEPCOIII Electric Power Construction Co., Ltd. kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaja na “Shinda Mechi Zako Kinamna Yako”  kuchochea biashara

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni mpya ya akiba inayofahamika kama “Shinda Mechi Zako Kinamna Yako” mahususi kwa wateja wake wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wauguzi, madaktari 1000 kugawiwa mitungi ya Oryx Gas

KAMPUNI ya Oryx Gas na Taasisi ya Doris Mollel Foundation wameingia makubaliano kuwezesha nishati safi ya kupikia kwa wauguzi na madaktari 1000 kutoka...

error: Content is protected !!